Bishop Prof Mpeli
IMANI INAYOTENDA. HUDUMA INAYOGUSA.ACTS FELLOWSHIP TANZANIA
Mwanzo / Nyaraka
06 / Nyaraka na maandiko

Hifadhi ya maarifa.

PROFESSORIAL CITATIONBishop Mpeli
Mwaisumbe
13 NOVEMBER 2026

Professorial Citation

Waraka wa historia ya maisha, elimu, huduma na mchango wake kwa Kanisa na jamii. Nyaraka asili katika lugha ya Kiingereza.

Soma citation ↗Pakua PDF ↓

Citation inaandaliwa kwa hafla ya tarehe 13 Novemba 2026.

Mafarakano Makanisani

Muswada wake unajadili changamoto za migawanyiko katika Kanisa na umuhimu wa toba, msamaha, unyenyekevu na umoja wa waamini.

Muswada umetajwa katika citation; nakala yake haijaongezwa katika hifadhi hii.
← Rudi MwanzoMawasiliano →